Tufuatilie  kupitia kipindi cha Redio 
                    
                
            
        
                        Tufuatilie  kupitia kipindi cha Redio 
                    
                
                            
                                 21 January, 2025
                            
                
            Tufuatilie kupitia kipindi cha Redio cha Sauti za Asubuhi kinachorushwa na Shalom Redio Arusha (97.3Mhz) tukizungumzia maendeleo ya utekelezaji wa ujenzi wa minara 758 Kanda ya Kaskazini.
MUDA: Kuanzia saa mbili asubuhi siku ya Jumatano tarehe 22 Januari, 2025.
 
             
            