Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE
... Mawasiliano kwa Wote ...
Katika kuadhimisha WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, 2017 itakayoanza tarehe 16 na kumalizika tarehe 23 Juni, MFUKO WA MAWASIL ...
ZaidiWaziri wa Ujenzi, Uchukuzi an Mawasiliano Mheshimiwa Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu ...
ZaidiMfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imeandaa warsha ya uvumbuzi wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa ...
ZaidiKaribu kwenye tovuti ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote. Tovuti hii imetayarishwa kwa madhumuni ya kukupa taarifa mwananchi ambaye ndiye mlengwa mkubwa wa shughuli za Mfuko. Kupitia tovuti hii utaweza kupata taarifa muhimu za Maendeleo ya miradi mbali mbali ya mawasiliano inayosimamiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote katika maeneo mbali mbali hapa nchini. Pia unayo nafasi ya kushiriki kwa kutoa maoni yako kwa ajili ya kuboresha tovuti na shughuli za Mfuko kwa ujumla.
Ni matumaini ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote kuwa tovuti hii itakua kiungo muhimu kati ya Serikali na mwananchi katika kuhakikisha kila mwananchi wa Tanzania anapata mawasiliano hasa ya simu na mtandao na hivyo kuharakisha maendeleo na ustawi wa jamii katika nyanja zote.
... ZaidiMalengo ya Mfuko
Kazi za Mfuko
Muundo wa Mfuko
Wajumbe wa Bodi
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Mfuko) ulianzishwa na Serikali kwa sheria namba 11 ya mwaka 2006 ambayo ilipewa jukumu kuu la kupeleka mawas ...
Zaidi