Eng. Peter Ulanga

CEO & Fund Manager: UCSAF

Karibu

Karibu kwenye tovuti ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote. Tovuti hii imetayarishwa kwa madhumuni ya kukupa taarifa mwananchi ambaye ndiye mlengwa mkubwa wa shughuli za Mfuko. Kupitia tovuti hii utaweza kupata taarifa muhimu za Maendeleo ya miradi mbali mbali ya mawasiliano inayosimamiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote katika maeneo mbali mbali hapa nchini. Pia unayo nafasi ya kushiriki kwa kutoa maoni yako kwa ajili ya kuboresha tovuti na shughuli za Mfuko kwa ujumla.

Ni matumaini ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote kuwa tovuti hii itakua kiungo muhimu kati ya Serikali na mwananchi katika kuhakikisha kila mwananchi wa Tanzania anapata mawasiliano hasa ya simu na mtandao na hivyo kuharakisha maendeleo na ustawi wa jamii katika nyanja zote.

Habari na Matukio
WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Tarehe : 2017-06-21

Katika kuadhimisha WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, 2017 itakayoanza tarehe 16 na kumalizika tarehe 23 Juni, MFUKO WA MAWASIL ...

Zaidi
UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE
Tarehe : 2016-09-07

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi an Mawasiliano Mheshimiwa Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu ...

Zaidi
Girls in ICT Day - Tanzania
Tarehe : 2016-04-06

Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imeandaa warsha ya uvumbuzi wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa ...

Zaidi